Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Pamoja na kushuhudia ugawaji wa tuzo usiku wa leo, tutapata kushuhudia ubora wa wanawake katika fani mbalimbali. Hii hapa GABF CAKES TOOLS PAMBA KEKI CHALLENGE ambapo mikoa minne itawakilishwa vizuri kwa kupamba keki ndani ya dakika 20.

Hii ndio WISAC VIRTUAL EDITION tunasema MWANAMKE NA NUSU

#wisacawards2024 #kazikazi | Posted on 29/Nov/2024 16:32:53

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie