Yvonne Cherrie Instagram – Leo, tunaenda kuweka historia. Tunakuletea tuzo za kipekee kwa namna ya kipekee. Sisi tunaanza kwa kuonesha mfano ni kwa jinsi gani wanawake wa kwenye sekta ya sanaa utamaduni na michezo tunahitaji kusherehekewa. Niamini, baada ya tukio la leo wengine wataiga.
Hii si ya kukosa. Sinemazetu ndio sehemu pekee ya kuianza wikiendi yako leo ukiwa na ndugu jamaa na rafiki zako.
Swali tu linabaki, umelipia King’amuzi?
WISAC VIRTUAL EDITION
@mwafrikaasilia | Posted on 29/Nov/2024 12:43:33



