Yvonne Cherrie Instagram – Mshindi wa mwaka jana wa Tuzo za WISAC kipengele cha OUTSTANDING HAIRDRESSER ni @adelinaisack
Nani atashinda Tuzo hii mwaka huu? Endelea kupendekeza majina ya wanaostahili kuwania tuzo za WISAC katika vipengele husika na kisha tukutane tarehe 29 Novemba, 2024 mubashara kupitia @sinemazetuhd
@mwafrikaasilia
#wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi | Posted on 08/Nov/2024 18:51:11



