Chukua nafasi hii kumpendekeza MWANAMICHEZO BORA unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
NBC Premier League leo Jumatano Saa 10:00 jioni, JKT Tanzania watakuwa nyumbani uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo wakiwakaribisha Pamba Jiji Saa 1:00 usiku Kagera Sugar watakuwa dimba la Kaitaba wakiwaalika Namungo FC Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD. #SisiNiSoka #Azamtvsport #NBCPL
Huyu hapa ndiye OUTSTANDING MODEL wa WISAC 2023. Nani kushinda tuzo hii mwaka huu? Tuzo hizi zitatolewa mubashara kupitia chaneli namba 106 @sinemazetuhd kuanzia saa 3 usiku #wisacawards2024 @mwafrikaasilia
Zimebaki siku 3 tu kuelekea tuzo za WISAC 2024. Umeshalipia king’amuzi chako kabisa? Hii si ya kupitwa, tukio la kwanza la aina yake kufanyika Tanzania. Tunaanza sisi, wengine watafuata. WISAC VIRTUAL AWARDS NIGHT 29 Novemba, 2024 @mwafrikaasilia @sinemazetuhd
OUTSTANDING MC wa WISAC 2023 @mc_linah mwaka huu nani atashinda tuzo hii? Novemba 29 @sinemazetuhd @mwafrikaasilia #wisacawards2024
Zimebaki siku 4 kuelekea usiku wa WISAC 2024. Sherehe kubwa zaidi ya wanawake kwenye sekta ya michezo sanaa na utamaduni. Tutakuwa mubashara kupitia @sinemazetuhd Saa 3 kamili usiku. @mwafrikaasilia #wisacawards2024
Yaani Ijumaa ifike haraka, kuwasherehekea wanawake mahiri kwenye michezo sanaa na utamaduni. Napenda kuona wanawake hawa wakipewa heshima, wakithaminiwa. Nimekuwa kwenye kiwanda cha burudani kwa zaidi ya miongo miwili na nusu,najua najua na najua heshima tunayostahili kupewa. Nisipoanza mimi nani atafanya? Cha msingi kuwa pembeni tu ya luninga yako kuanzia saa 3 kamili usiku chaneli ni moja tu, 106 Sinemazetu #wisacawards2024 @mwafrikaasilia
Mshindi wa WISAC 2023 Kipengele cha OUTSTANDING CATERER @utam_jikoni Tarehe 29 Novemba, 2024 nani atashinda tuzo hii? Fuatilia matangazo mubashara kuanzia saa 3 usiku kupitia @sinemazetuhd WISAC VIRTUAL AWARDS NIGHT #wisacawards2024 @mwafrikaasilia
Mwisho wa kupiga kura ni LEO saa 6:00 Usiku. Piga kura tupate mshindi wa tuzo za WISAC 2024 kwenye kila Kipengele husika. Kura yako ni muhimu sana, kwani inabeba asilimia 60 ya ushindi wake na asilimia 40 ni za majaji. Tuzo zitatolewa mubashara kupitia chaneli namba 106 @sinemazetuhd ya Azam Tv tarehe 29 Novemba, 2024 kuanzia saa 3 kamili usiku. Kila la kheri! @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
GREATEST OF ALL TIME AWARD ( GOAT ) Msanii bora wa wakati wote wa WISAC 2023 ni Komando Lady Jaydee @jidejaydee Nani mwaka huu atatunukiwa tuzo hii? Novemba 29 WISAC VIRTUAL AWARDS NIGHT @sinemazetuhd @mwafrikaasilia
Mshindi wa mwaka jana wa Tuzo za WISAC kipengele cha OUTSTANDING HAIRDRESSER ni @adelinaisack Nani atashinda Tuzo hii mwaka huu? Endelea kupendekeza majina ya wanaostahili kuwania tuzo za WISAC katika vipengele husika na kisha tukutane tarehe 29 Novemba, 2024 mubashara kupitia @sinemazetuhd @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Tuzo ya “Kiongozi Bora wa Michezo” kwenye tuzo za WISAC inamtambua mwanamke ambaye ametoa mchango mkubwa katika michezo. Anaweza kuwa KOCHA, MWALIMU, MENEJA n.k. Mtu huyu anaonesha kujituma, ubunifu, na athari chanya ndani ya tasnia ya michezo. Anahamasisha wengine, anasimamia ushirikishwaji, na anafanya kazi kwa bidii kuinua michezo katika jamii yake na hata zaidi. Chukua nafasi hii kupendekeza jina la mwanamke huyu. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Kipengele cha “Kiongozi Bora katika Filamu” kwenye Tuzo za WISAC kinampongeza mwanamke ambaye ameonesha uongozi wa kipekee na ubunifu katika tasnia ya filamu. Kiongozi huyu anajitokeza siyo tu kwa mafanikio yake ya kisanii bali pia kwa kujitolea kwake kuwawezesha wengine na kukuza ukuaji wa jamii ya filamu. Kazi yake inawahamasisha vipaji chipukizi, inakuza ubunifu, na kuchangia maendeleo ya tasnia ya filamu. Pendekeza jina la mwanamke huyu. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MUONGOZAJI WA FILAMU, MWANDISHI WA MUSWADA, au MHARIRI WA FILAMU unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MCHEKESHAJI unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Rose Kayuga ndiye mshindi wa mwaka jana wa tuzo za WISAC kwenye kipengele cha OUTSTANDING MAKEUP ARTIST, mwaka huu itakuaje? Endelea kupendekeza majina ya wanawake mahiri kwenye vipengele mbalimbali vinavyoshindaniwa na kisha tukutane tarehe 29 Novemba kupitia @sinemazetuhd @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MWIMBAJI / MWANAMUZIKI unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MUIGIZAJI unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza DANCER unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza DJ wa Kike unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi