Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Jumatano
Saa 10:00 jioni, JKT Tanzania watakuwa nyumbani uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo wakiwakaribisha Pamba Jiji
Saa 1:00 usiku Kagera Sugar watakuwa dimba la Kaitaba wakiwaalika Namungo FC
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD.
#SisiNiSoka #Azamtvsport #NBCPL | Posted on 11/Dec/2024 11:13:56


