Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Tuzo ya “Kiongozi Bora wa Michezo” kwenye tuzo za WISAC inamtambua mwanamke ambaye ametoa mchango mkubwa katika michezo. Anaweza kuwa KOCHA, MWALIMU, MENEJA n.k. Mtu huyu anaonesha kujituma, ubunifu, na athari chanya ndani ya tasnia ya michezo. Anahamasisha wengine, anasimamia ushirikishwaji, na anafanya kazi kwa bidii kuinua michezo katika jamii yake na hata zaidi.

Chukua nafasi hii kupendekeza jina la mwanamke huyu.

@mwafrikaasilia
#wisacawards2024
#mwanamkenanusu
#kazikazi | Posted on 08/Nov/2024 11:08:14

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie