Yvonne Cherrie Instagram – Yaani Ijumaa ifike haraka, kuwasherehekea wanawake mahiri kwenye michezo sanaa na utamaduni. Napenda kuona wanawake hawa wakipewa heshima, wakithaminiwa. Nimekuwa kwenye kiwanda cha burudani kwa zaidi ya miongo miwili na nusu,najua najua na najua heshima tunayostahili kupewa.
Nisipoanza mimi nani atafanya?
Cha msingi kuwa pembeni tu ya luninga yako kuanzia saa 3 kamili usiku chaneli ni moja tu, 106 Sinemazetu
#wisacawards2024
@mwafrikaasilia | Posted on 24/Nov/2024 22:20:13



