Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Mwisho wa kupiga kura ni LEO saa 6:00 Usiku. Piga kura tupate mshindi wa tuzo za WISAC 2024 kwenye kila Kipengele husika.

Kura yako ni muhimu sana, kwani inabeba asilimia 60 ya ushindi wake na asilimia 40 ni za majaji.

Tuzo zitatolewa mubashara kupitia chaneli namba 106 @sinemazetuhd ya Azam Tv tarehe 29 Novemba, 2024 kuanzia saa 3 kamili usiku.

Kila la kheri!

@mwafrikaasilia
#wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi | Posted on 23/Nov/2024 15:38:26

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie