Elizabeth Michael Instagram – Na huu Ndio ulikuwa mtoko wangu kuelekea kwenye ibada ya wanawake iliyoandaliwa na mama yangu @pastor_roseshaboka š„°
Ahsante kwa mualikoā¦Binafsi nilibarikiwa sanaš
Jamani kina dada/kina mama usikose PADS hata 2 kwenye mkoba wakoā¦kama isipokufaa wewe unaweza hata kumstiri mwenzeo ikitokea ametembelewa ghafla šna sio PAD yoyote tu hakikisha una PACIFY ORGANIC PADS @pacifypads_tz š
Hair & facial @toobeautysalon aisee mnanifaa sana kipindi hiki nilichopumzisha make ups š„°š | Posted on 03/Nov/2024 12:03:39



