Happy birthday POPS 🎉 Mwenyezi Mungu akubariki na miaka mingi zaidi….akuzidishie baraka za rohoni na mwilini.! DAMU ya YESU iwe ulinzi kwenye afya yako,kazi zako na maisha yako🙏 Ujumbe huu umedhaminiwa na MKE WAKO na KAYA YAKO NZIMA😀❤️ @majizzo TUNAKUPENDA🥰💃
Jumma Mubarak 🌙 Nywele/kope/wanja by @toobeautysalon
Au nihamie KIZIMKAZI!? 🏝️🌚 Hair @toobeautysalon 🥰🙏
Au nihamie KIZIMKAZI!? 🏝️🌚 Hair @toobeautysalon 🥰🙏
Au nihamie KIZIMKAZI!? 🏝️🌚 Hair @toobeautysalon 🥰🙏
Unamuheshimu mtu vizuri…Kumbe akitoa wigi/kofia ni kama SLIDE no 2..! Mabutu tu ze woldi 😭huu ni ukweli ambao mara nyingi hatuwaonyeshi 🥹

If you get the money I’m following 🎤😊 Hair @toobeautysalon
Kheri Ya Sikukuu Ya MAULID 🌙 🧕
Kheri Ya Sikukuu Ya MAULID 🌙 🧕
Kheri Ya Sikukuu Ya MAULID 🌙 🧕
A vibe called BLESSED 😇 ✨
A vibe called BLESSED 😇 ✨
A vibe called BLESSED 😇 ✨
Na huu Ndio ulikuwa mtoko wangu kuelekea kwenye ibada ya wanawake iliyoandaliwa na mama yangu @pastor_roseshaboka 🥰 Ahsante kwa mualiko…Binafsi nilibarikiwa sana🙏 Jamani kina dada/kina mama usikose PADS hata 2 kwenye mkoba wako…kama isipokufaa wewe unaweza hata kumstiri mwenzeo ikitokea ametembelewa ghafla 😀na sio PAD yoyote tu hakikisha una PACIFY ORGANIC PADS @pacifypads_tz 👌 Hair & facial @toobeautysalon aisee mnanifaa sana kipindi hiki nilichopumzisha make ups 🥰💃
Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN tayari ametengeneza historia kama raisi wa kwanza mwanamke kwa TAIFA LETU.! Hizi ni nyakati zetu…hatujaletwa duniani kusindikiza au kushangaa…unataka kutengeneza historia kwenye ngazi ya familia?biashara?elimu?siasa? au popote pale…fanya hivyo na Mw/Mungu akutimizie haja yako🙏HISTORIA LAZIMA ZIANDIKWE 💪 @samia.app @samia.app #samiasuitchallenge
Pedi zenye ubora na uhuru wa hali ya juu ni PACIFY ORGANIC PADS pekeee 💃 Cc @pacifypads_tz
Dear Malikia you deserve the best Viwango 💯 kimbilio lipo Pacify Organic Pads ni salama na bei rafiki Follow @pacifypads_tz Weka order ya Pacify Organic Pads kupitia namba 255 748 420 000 Pacify Pads, Ni Zaidi ya Uhuru!