Elizabeth Michael Instagram – Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN tayari ametengeneza historia kama raisi wa kwanza mwanamke kwa TAIFA LETU.!
Hizi ni nyakati zetu…hatujaletwa duniani kusindikiza au kushangaa…unataka kutengeneza historia kwenye ngazi ya familia?biashara?elimu?siasa? au popote pale…fanya hivyo na Mw/Mungu akutimizie haja yako🙏HISTORIA LAZIMA ZIANDIKWE 💪
@samia.app @samia.app
#samiasuitchallenge | Posted on 23/Oct/2024 14:40:22



