Yvonne Cherrie Instagram – NUSU FAINAILI SUPER CUP:
LEO inachezwa nusu fainali ya kwanza, ambapo mabingwa watetezi Inter Milan kukipiga na Atalanta.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD
Je, timu gani kwenda fainali?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu. | Posted on 02/Jan/2025 12:45:33



