Yvonne Cherrie Instagram – Mapinduzi Cup 2025.
Michuano ya Mapinduzi 2025 kuanza kuchezwa Ijumaa hii katika dimba la Gombani Kisiwani Pemba.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michuano hii mbashara kupitia chaneli ya AzamSports3HD.
#MapinduziCup2025 #Azamtvsport | Posted on 30/Dec/2024 16:31:25



