Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Jumapili

Saa 8:00 mchana, Singida BS watakuwa nyumbani uwanja wa Liti wakicheza na Pamba Jiji.

Saa 10:15 jioni, Mashujaa FC watakuwa dimba lao la nyumbani Lake Tanganyika wakiwakaribisha Yanga SC.

Saa 1:00 usiku, Namungo FC watakuwa nyumbani uwanja wa Majaliwa wakikipiga na Coastal Union

Nani kuondoka na alama tatu?

Michezo hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

#NBCPL #Azamtvsports | Posted on 23/Feb/2025 12:16:18

Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie