#MissaKi2025🔐 Haijaisha bado 😊 kesho ndio funga kazi ya shughuli zote mjini 👌 Tukutane pale pale @zamaraditv chaneli namba 413 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV Lipia kifurushi chochote kuipata Zamaradi TV, fanya hima mapema kabisa maana jambo letu litaanza saa 1:00 usiku. #MissaKi2025 #MissaKi #ZamaradiTV @hamisamobetto #AzizKi
#MissaKi2025🔐 na ni paaaambe kweli 😍 Shughuli nzima inaanza leo kuitafuta kesho na hatimaye tarehe 19 Februari siku ya kuwasherehekea @hamisamobetto na #AzizKi Lipia tu kifurushi chako kama bado haujafanya hivyo, maana shughuli zote zitakuwa LIVE kupitia @zamaraditv chaneli namba 413 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV #MissaKi2025
First and last, the bookends of my heart ❤️ @soniamonalisa @officialwahid0
Sijui hata wanacheka nini hawa. We umewaelewa? @chechehimself
Kutana na Balozi wa #AzamTV na Kampuni za Bakhresa Group, Yvonne Cherrie @monalisatz akielezea uzoefu alioupata katika safari ya Hispania ambako alikwenda kwenye LaLiga Experience mwaka 2019. Mwenyewe anasema anatamani kupata tena fursa ya kwenda kwenye safari hiyo. #AzamLiga
NBC Premier League leo Jumapili Saa 8:00 mchana, Singida BS watakuwa nyumbani uwanja wa Liti wakicheza na Pamba Jiji. Saa 10:15 jioni, Mashujaa FC watakuwa dimba lao la nyumbani Lake Tanganyika wakiwakaribisha Yanga SC. Saa 1:00 usiku, Namungo FC watakuwa nyumbani uwanja wa Majaliwa wakikipiga na Coastal Union Nani kuondoka na alama tatu? Michezo hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports
Makeke’s VUTA NIVUTE event ilikuwa poa sana. Hongera sana Makeke @makeke_international
LEO, inafanyika droo ya robo fainali, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika. Usikose kufatilia droo hii ili kujua wawakilishi wa Tanzania, Simba SC kukutana na timu gani. Droo hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 11:00 jioni. #CAFCL #CAFCC #Azamtvsport
NBC Premier League leo Jumanne Saa 10:00 jioni, Kengold watakuwa dimba la Sokoine wakiwakaribisha Kagera Sugar. Mechi hii itaruka mbashara AzamSports1HD. KMC watakuwa uwanja wao wa nyumbani KMC Complex wakiwakaribisha JKT Tanzania. Mchezo huu utaruka LIVE kupitia AzamSports2HD. Saa 1:00 usiku, Dodoma Jiji watakuwa uwanja wa Jamhuri wakikipiga na Tanzania Prisons. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #NBCPL #Azamtvsport.
Happy birthday HAWA wangu @mamathaqyer1000 Nakupenda ❤️❤️
Happy birthday HAWA wangu @mamathaqyer1000 Nakupenda ❤️❤️
NBC Premier League leo Jumatatu Saa 10:00 jioni, Yanga SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Singida BS. Yanga SC anaingia katika mchezo huu akiwa anaongoza ligi huku Singida jBS akiwa nafasi ya nne. Je, ni Wananchi ama Walima Alizeti nani kuondoka na alama tatu?. Mechi hii itaruka mbashara AzamSports1HD. Fountain Gate watakuwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa wakiwaalika Tabora United. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports2HD. #NBCPL #Azamtvsports
AzamTV inaungana na Watanzania wote kumtakia heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan #AzamTVBurudaniKwaWote
AzamTV inaungana na Watanzania wote kumtakia heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan #AzamTVBurudaniKwaWote
AzamTV inaungana na Watanzania wote kumtakia heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan #AzamTVBurudaniKwaWote
AzamTV inaungana na Watanzania wote kumtakia heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan #AzamTVBurudaniKwaWote
Leo, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la KMC Complex akicheza na Kilimanjaro Wonders, mechi raundi ya tatu CRDB Bank Federation Cup. Je, Mnyama kugawa dozi ama Kilimanjaro Wonders kumvimbia? Mechi hii itapigwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD #SimbaSC #CRDBBankFederationCUP
Fragrance speaks volumes! Go for fresh vibes in the day and bold, warm scents for unforgettable evenings. ✨La vie est belle 100ML @395,000Tsh ✨KAYALI vanilla candy rock sugar 100ML @550,000Tsh ✨KAYALI vanilla royale sugared patchouli 100ML @550,000Tsh ✨Daisy eau so fresh 125ML @400,000Tsh Burberry her elixir 100ML @415,000Tsh ✅Get it now @originalbrand.perfume @originalbrand.perfume @originalbrand.perfume Samples available in 5ML & 10ML 📍 Location. Sinza Mapambano , dar es salaam Tanzania. ✨To order: 255 759 660 308 ( calls/ WhatsApp) ✨Safe and fast delivery & all over AFRICA . . . . . . . #tunanukia #scent #originalbrand #shopping #online #perfume #perfumecollection #perfumelovers #cosmetics
Ijumaa hii ile droo ya kuwapata washindi wawili wa kwenda Hispania kupitia kampeni ya Azamliga kufanyika. Droo hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 1:00 usiku. #AzamLIGA #AzamSports1HD
Step into our shop for genuine perfumes that capture true beauty in every bottle. Find your perfect scent with our genuine perfumes, shop now @originalbrand.perfume @originalbrand.perfume @originalbrand.perfume Samples available in 5ML & 10ML 📍 Location. Sinza Mapambano , dar es salaam Tanzania. ✨To order: 255 759 660 308 ( calls/ WhatsApp) ✨Safe and fast delivery & all over AFRICA . . . . . . . #tunanukia #scent #originalbrand #shopping #online #perfume #perfumecollection #perfumelovers #cosmetics
Ukimuona katulia kama anafanya la maana vile, kumbe anacheza game. Kubwa zima!!