Yvonne Cherrie Instagram – Kutana na Balozi wa #AzamTV na Kampuni za Bakhresa Group, Yvonne Cherrie @monalisatz akielezea uzoefu alioupata katika safari ya Hispania ambako alikwenda kwenye LaLiga Experience mwaka 2019.
Mwenyewe anasema anatamani kupata tena fursa ya kwenda kwenye safari hiyo.
#AzamLiga | Posted on 25/Jan/2025 13:16:47