Yvonne Cherrie Instagram – LEO, inafanyika droo ya robo fainali, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika.
Usikose kufatilia droo hii ili kujua wawakilishi wa Tanzania, Simba SC kukutana na timu gani.
Droo hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 11:00 jioni.
#CAFCL #CAFCC #Azamtvsport | Posted on 20/Feb/2025 12:38:54



