Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Jumatatu

Saa 10:00 jioni, Yanga SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Singida BS.

Yanga SC anaingia katika mchezo huu akiwa anaongoza ligi huku Singida jBS akiwa nafasi ya nne.

Je, ni Wananchi ama Walima Alizeti nani kuondoka na alama tatu?.

Mechi hii itaruka mbashara AzamSports1HD.

Fountain Gate watakuwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa wakiwaalika Tabora United.

Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

#NBCPL #Azamtvsports | Posted on 17/Feb/2025 11:18:07

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie