Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – #MissaKi2025🔐 na ni paaaambe kweli 😍

Shughuli nzima inaanza leo kuitafuta kesho na hatimaye tarehe 19 Februari siku ya kuwasherehekea @hamisamobetto na #AzizKi

Lipia tu kifurushi chako kama bado haujafanya hivyo, maana shughuli zote zitakuwa LIVE kupitia @zamaraditv chaneli namba 413 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV

#MissaKi2025 | Posted on 15/Feb/2025 13:40:15

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie