Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Jumanne

Saa 10:00 jioni, Kengold watakuwa dimba la Sokoine wakiwakaribisha Kagera Sugar.

Mechi hii itaruka mbashara AzamSports1HD.

KMC watakuwa uwanja wao wa nyumbani KMC Complex wakiwakaribisha JKT Tanzania.

Mchezo huu utaruka LIVE kupitia AzamSports2HD.

Saa 1:00 usiku, Dodoma Jiji watakuwa uwanja wa Jamhuri wakikipiga na Tanzania Prisons.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.

#NBCPL #Azamtvsport. | Posted on 18/Feb/2025 13:14:50

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie