Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Jumatatu

Saa 8:00 mchana, KenGold watakuwa dimba la Sokoine wakicheza na Fountain Gate.

Saa 10:15 jioni JKT Tanzania watakuwa nyumbani dimba la Meja Jenerali Isamuhyo wakiwakaribisha mabingwa watetezi Yanga SC

Mechi hii itaruka mbashara AzamSports1HD.

Huku KMC watakuwa KMC Complex wakikipiga na Singida BS.

Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.

#NBCPL #Azamtvsports | Posted on 10/Feb/2025 13:28:35

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie