Moyo wangu umejaa fahari! Kuona binti yangu, Sonia, akichukua hatua katika uongozi na mijadala ya kimataifa ni baraka kubwa. Hatma ya dunia ipo mikononi mwa wale wanaothubutu kuota ndoto na kuchukua hatua. Endelea kung’ara,mwanangu. @soniamonalisa

Sisters are like STARS. You may not always see them, but you know they’re always there. Nakupenda my sis @luvis_elvis

Jana kwenye tukio la uzinduzi wa kubwa mbili kwa pamoja ya @christinashusho hongera sana kipenzi, umeweza. Slide ya mwisho nilikuwa najipa raha kidogo kabla ya kwenda kwenye tukio. Waswahili husema “ raha jipe mwenyewe”

Happy birthday Chitty, KIPEPEO MWEUSI. Makopa mengi kwako dogo.❤️❤️ @mwasitij
Alhamdulillah!
Safari.🔥
Safari.🔥
Safari.🔥
Safari.🔥
NBC Premier League kuendelea leo kwa mechi nne kupigwa na zote kuruka mbashara kupitia AzamTV. Je, mabingwa watetezi Yanga SC watachukua alama tatu na kushika uongozi wa msimamo? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii #NBCPL #Azamtvsport
Valentine is coming…
NBC Premier League leo Jumatatu Saa 8:00 mchana, KenGold watakuwa dimba la Sokoine wakicheza na Fountain Gate. Saa 10:15 jioni JKT Tanzania watakuwa nyumbani dimba la Meja Jenerali Isamuhyo wakiwakaribisha mabingwa watetezi Yanga SC Mechi hii itaruka mbashara AzamSports1HD. Huku KMC watakuwa KMC Complex wakikipiga na Singida BS. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports2HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #NBCPL #Azamtvsports
Ligi Kuu ya Wanawake kuendelea leo kwa Simba Queens watakuwa uwanja wa KMC Complex wakicheza na Ceasiaa Queens. Mchezo huu utachezwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #WPL #Azamtvsports
Leo hii. @azamtvtz
Wiki hii kwenye kisimbuzi chako cha AzamTV NBCPL, Yanga atakuwa dimba la nyumbani KMC Complex dhidi ya Kagera Sugar wakati mnyama Simba SC atakuwa ugenini dimba la Ali Hassan Mwinyi dhidi ya Tabora United. LALIGA, Real Madrid watakuwa dimba la ugenini kuwakabili Espanyol wakati Barcelona watakuwa nyumbani wakimenyana na Alaves SERIE A, itapigwa Milan Derby, AC Milan watakuwa San Siro wakicheza na Inter Milan. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama burudani hii ya soka. #SisiNiSoka #Azamtvsport
Le Male Elixir by Jean Paul Gaultier is an Oriental Fougere fragrance for men. ✅Top notes: Lavender and Mint ✅middle notes: Vanilla and Benzoin ✅base notes: Honey, Tonka Bean and Tobacco. Get it now 125ML @500,000Tsh Samples available in 5ML & 10ML 📍 Location. Sinza Mapambano , dar es salaam Tanzania. ✨To order: 255 759 660 308 ( calls/ WhatsApp) ✨Safe and fast delivery & all over AFRICA . . . . . . . #tunanukia #scent #originalbrand #shopping #online #perfume #perfumecollection #perfumelovers #cosmetics