Yvonne Cherrie Instagram – Moyo wangu umejaa fahari! Kuona binti yangu, Sonia, akichukua hatua katika uongozi na mijadala ya kimataifa ni baraka kubwa. Hatma ya dunia ipo mikononi mwa wale wanaothubutu kuota ndoto na kuchukua hatua.
Endelea kung’ara,mwanangu.
@soniamonalisa | Posted on 05/Feb/2025 22:35:24
Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie



