Yvonne Cherrie Instagram – Ligi Kuu ya Wanawake kuendelea leo kwa Simba Queens watakuwa uwanja wa KMC Complex wakicheza na Ceasiaa Queens.
Mchezo huu utachezwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
#WPL #Azamtvsports | Posted on 04/Feb/2025 12:48:19



