Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo Instagram – Tukisema KAZI na UTU tunamaanisha!!!

Uzinduzi wa mradi wa Frame 73 na Majengo ya Hostel za Chuo chini ya Vijana wa CCM Mkoa wa Singida. Imezinduliwa na Mwenyekiti wetu wa Vijana Wa CCM Taifa @comrade_kawaida

Pongezi nyingi kwa Mwenyekiti Vijana Mkoa wa Singida @zulfat_muja na kamati yako yote ya utekelezaji kwa ziara hii kubwa na kwa maendeleo haya ya jumuiya yetu singida. | Posted on 26/Mar/2025 00:08:58

Jokate Mwegelo

Check out the latest gallery of Jokate Mwegelo