I couldn’t choose, help me choose 😮💨 ART by @makeupbyeddie_

Asubuhi ya leo nimeshiriki Misa Takatifu kwenye Parokia ya Bugando kwa mualiko maalumu wa Masista Wa Mabinti wa Maria Jimbo Kuu la Mwanza. Nawashukuru sana kwa mapokezi mazuri na neema hii ya kusali pamoja nao.
Jana jioni masista wa shirika la Mabinti wa Maria Jimbo Kuu La Mwanza waliniomba nitembelee shule yao ya Sekondari yenye Wanafuzi takribani elfu moja. Nilikuwa humbled sana kusikia Dada Mkuu wa shule hiyo akisema amefuatilia safari yangu ya uongozi tangu yuko Primary School kipindi hicho mini ni DC Kisarawe. Na kuwa nayeye safari yake ya uongozi inaanzia hapo shuleni!!!! Vijana wana ndoto nyingi ni wajibu wetu kuwahamasisha na kuwasaidia kuona fursa na kesho yao iliyo bora ndani ya nchi yetu Tanzania.
Uwekezaji wa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dr @samia_suluhu_hassan kwenye kuendeleza vijana wa Kitanzania kupitia sekta ya Elimu ni dhahiri. Huyu ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari inayomilikiwa na Serikali ya Kiranyi iliyoko Arumeru mkoa wa Arusha. Vijana wetu wanajiamini, wanajua kujielezea na wanapigania NDOTO zao. Thank you Diana Cassian for the 🫶🏽 ♥️♥️♥️♥️♥️
Historia Imeandikwa SINGIDA kuanzia IKUNGI mpaka MANYONI. Sauti ya vijana @comrade_kawaida umejua kuisimamisha Singida kibabe sana. Singida ngome ya CCM 💚

Tukisema KAZI na UTU tunamaanisha!!! Uzinduzi wa mradi wa Frame 73 na Majengo ya Hostel za Chuo chini ya Vijana wa CCM Mkoa wa Singida. Imezinduliwa na Mwenyekiti wetu wa Vijana Wa CCM Taifa @comrade_kawaida Pongezi nyingi kwa Mwenyekiti Vijana Mkoa wa Singida @zulfat_muja na kamati yako yote ya utekelezaji kwa ziara hii kubwa na kwa maendeleo haya ya jumuiya yetu singida.