Jokate Mwegelo Instagram – Uwekezaji wa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dr @samia_suluhu_hassan kwenye kuendeleza vijana wa Kitanzania kupitia sekta ya Elimu ni dhahiri. Huyu ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari inayomilikiwa na Serikali ya Kiranyi iliyoko Arumeru mkoa wa Arusha.
Vijana wetu wanajiamini, wanajua kujielezea na wanapigania NDOTO zao.
Thank you Diana Cassian for the 🫶🏽
♥️♥️♥️♥️♥️ | Posted on 25/Mar/2025 13:28:15



