Jokate Mwegelo Instagram – Jana jioni masista wa shirika la Mabinti wa Maria Jimbo Kuu La Mwanza waliniomba nitembelee shule yao ya Sekondari yenye Wanafuzi takribani elfu moja.
Nilikuwa humbled sana kusikia Dada Mkuu wa shule hiyo akisema amefuatilia safari yangu ya uongozi tangu yuko Primary School kipindi hicho mini ni DC Kisarawe. Na kuwa nayeye safari yake ya uongozi inaanzia hapo shuleni!!!!
Vijana wana ndoto nyingi ni wajibu wetu kuwahamasisha na kuwasaidia kuona fursa na kesho yao iliyo bora ndani ya nchi yetu Tanzania. | Posted on 24/Mar/2025 12:39:12



