Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo Instagram – Asubuhi ya leo nimeshiriki Misa Takatifu kwenye Parokia ya Bugando kwa mualiko maalumu wa Masista Wa Mabinti wa Maria Jimbo Kuu la Mwanza. Nawashukuru sana kwa mapokezi mazuri na neema hii ya kusali pamoja nao. | Posted on 24/Mar/2025 00:19:27

Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo

Check out the latest gallery of Jokate Mwegelo