Voted Africa’s Leading Airport at the World Travel Awards 2025; Julius Nyerere International AirPort—— Tanzania!!! Arusha in a minute. Tuonane badae kwenye KONGAMANO LA VIJANA 🇹🇿 JUM ❤️

ARUSHA MJINI ❤️❤️❤️❤️❤️
ARUSHA MJINI ❤️❤️❤️❤️❤️
ARUSHA MJINI ❤️❤️❤️❤️❤️
ARUSHA MJINI ❤️❤️❤️❤️❤️
ARUSHA MJINI ❤️❤️❤️❤️❤️
ARUSHA MJINI ❤️❤️❤️❤️❤️
ARUSHA MJINI ❤️❤️❤️❤️❤️
ARUSHA MJINI ❤️❤️❤️❤️❤️
Ukiwa Arusha inafaa uwe kama wana Arusha 👊🏽👊🏽👊🏽 Vijana, akina mama ….. Asanteni kwa LOVE!!!
Bonge la dadaaa
JUM.
JUM.
JUM.
JUM.
Nitumie fursa hii kama Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Msalato Secondary School iliyopo Dodoma kuwapongeza wahitimu wote wa Kidato cha Sita, Uongozi wa Shule na Walimu kwa matokeo mazuri yanayoendeleza sifa za kihistoria na jina jema la Shule yetu ya Msalato. Kongole pia kwa wazazi na walezi kwa mafanikio haya. Aidha, kwa upekee wake niwapongeze pia walimu, wanafunzi na uongozi mzima wa shule iliyopewa jina langu na viongozi wangu wa Kisarawe- Pwani, Jokate Mwegelo Secondary School kwa kuendeleza falsafa njema ya Tokomeza Zero Kisarawe kwa vitendo!!! Nawatakia mabinti wote kila la kheri na hatua zinazofuata katika kujiendeleza ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

Jana nilipata wasaa wa kutembelea Chuo chetu cha UVCCM Tunguu aka DAMBWE kilichopo Zanzibar na kukagua maendeleo ya madarasa, mabweni na miradi ya kimkakati. Nilifanya ukaguzi huo nikionyeshwa maendeleo hayo na Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar, Ndg. Abdi Mahmoud Abdi ambapo alinionesha miradi ya shamba la mahindi, nyanya, pilipili hoho na miti ya matunda ikiwemo papai ambayo hii yote imeanza kuleta faida kwa kuuza kwa wananchi. Pia nimejionea maendeleo ya mradi wa ufugaji wa kuku wa mayai ambayo yanauzwa kwa Wananchi na tayari UVCCM Afisi Kuu Zanzibar imekaribisha wananchi kununua biashara hizo. Nimewapongeza viongozi wote kwa kusimamia vizuri fedha za ujenzi wa chuo hicho na zaidi Mwenyekiti wetu Cde. Mohamed Ali Kawaida kwa kuhamasisha viongozi wa Serikali na Chama na wadau mbalimbali wa chuo chetu kushirikiana nasi katika kufanya maboresho haya tunayoyaona. @comrade_kawaida @abdimahmoud @uvccm_tz @uvccm_zanzibar