Rose Ndauka

Rose Ndauka Instagram – Kadri siku zinavyozidi kwenda nagundua maisha yangu yanazidi kuwa rahisi sababu yako,sitaki wala sifikiri maisha bila wewe yatakuwaje maana tayari nishapita huko,Namuomba Mungu akupe umri mrefu akuzidishie hekima na busara uliyokuwa nayo…..

Nakupenda sana Mume wangu hata neno lenyewe halitoshi kueleza hisia zangu kwako,kwenye siku hii ya leo tunaposherekea kuongezeka kwa namba kwenye umri wako,namuomba Mungu azidi kujidhirihisha kupitia mahitaji yako….

Uendelee kuwa Mume na Baba bora tunaemjua kila siku ❤️❤️❤️,Mapenzi ya kutosha kwako sababu ya mapenzi unayotuonyesha mimi na watoto wetu…..

Kheri ya siku kuzaliwa Hubby,kipenzi changu rafiki yangu kipenzi ❤️❤️❤️ @haffiyy | Posted on 17/Apr/2025 03:10:45

Rose Ndauka
Rose Ndauka

Check out the latest gallery of Rose Ndauka