My twinie and Bff Mwenyezi Mungu anipe umri mrefu nikuongoze vyema,Nakupenda sana binti yangu ❤️❤️❤️❤️ @princessnaveen
My beautiful family everything is going to be alright,inshaallah ❤️❤️❤️ @esha.s.buheti @akhamadwaziri_2
Kadri siku zinavyozidi kwenda nagundua maisha yangu yanazidi kuwa rahisi sababu yako,sitaki wala sifikiri maisha bila wewe yatakuwaje maana tayari nishapita huko,Namuomba Mungu akupe umri mrefu akuzidishie hekima na busara uliyokuwa nayo….. Nakupenda sana Mume wangu hata neno lenyewe halitoshi kueleza hisia zangu kwako,kwenye siku hii ya leo tunaposherekea kuongezeka kwa namba kwenye umri wako,namuomba Mungu azidi kujidhirihisha kupitia mahitaji yako…. Uendelee kuwa Mume na Baba bora tunaemjua kila siku ❤️❤️❤️,Mapenzi ya kutosha kwako sababu ya mapenzi unayotuonyesha mimi na watoto wetu….. Kheri ya siku kuzaliwa Hubby,kipenzi changu rafiki yangu kipenzi ❤️❤️❤️ @haffiyy

Hatanashindwa kuhesabu miaka maana kila siku ni kama jana na kuongezeka zaidi,ninachojua ni kwamba nakuhitaji wewe na nakuhitaji zaidi 😋Naomba Mwenyezi Mungu akupe afya njema na baraka tele @haffiyy na sio mitano tena sasa ni one hundred kwa uwezo waka Allah 💯 ❤️❤️❤️#happyfiveyearsanniversary❤❤❤

Eid Mubarak kutoka pande hizi kwa Bibi raha jamanii,Hongera mwanangu @officialprincehaleem nakupenda sana ❤️❤️❤️
Na huu ndio ule ubuyu wenye vibes za mamtoni😋🤩🔥 Your favorite Moms will soon be on your screen🤩It’s about to get hotttt🔥are you readyyyy😎🔥🔥🔥???? #mommyclub #MommyclubTZ #mommyclubshowmax
Umeshajiunga na showmax🤭aisee kama bado, fanya ujiunge, chuma kitakuwa hewani very soon,,USIKOSE🔥🔥🔥 #TheMommyClubTanzania #themommyclubshowmax #themommyclubtzshowmax
I don’t care,The only girl who be better than me will be my own daughter….😎
Eid Mubarak ❤️❤️❤️❤️punguzeni makasiriko 🤣🤣🤣
In the quiet moments,God shape my strength and guide my steps😎Big things are coming 🙏 Hair @bonita_saloon Accessories @accessories_mastertz
Happy birthday my Dada Wiii nakupenda sana,Mungu aendelee kukusimamia kwenye mapambano yako,Ufanikiwe ufike mbali zaidi ❤️❤️❤️ @halimayahya
Lala salama Hawa💔💔
Usichanganye elimu na ufahamu unaweza kuwa na shaada na bado ukawa mpumbavu wa mwisho…..😎 😀
Haya tulale sasa, walionielew wameelewa na mnaojifanya hamjaelewa pia najua mmenielewa…… Kikubwa msisahau tukutane @showmaxtanzania tarehe 25 mwezi huu kwa burudani zaidi
Wangu wa hubani nakupenda si utani ❤️❤️❤️,let celebrate your birthday my love @haffiyy
Loyalty is an expensive gift,don’t expect it from cheap people🌍 @mercy_tips @mercy_tips
Another Rich Mommy full of drama🤩unaweza kumuita “Rose the rapper”😎soon atakuwa kwenye screen yako kupitia #TheMommyClubTanzania ndani ya showmax pekee🔥kaa tayari🔥 #TheMommyClubTanzania #themommyclub #themommyclubshowmax
Showmies📢📢📢are you readyyy🥳..??? #themommyclubtanzania itakuwa ndani ya showmax siku nne zijazo🤩kaa tayari🔥🔥🔥 #themommyclubtzshowmax #themommyclubshowmax #themommyclubtanzania
Sisi ndio madaktari bingwa wa rejeta Nchini Tanzania,Karibuni sana kwa huduma za Rejeta,enter cooler,oil cooler @hrdradiatorcompany
TAARIFA MUHIMU KWA WATEJA WETU WAPENDWA Tunapenda kuwataarifu kuwa ofisi zetu zilizokuwa Mkuyuni, Mwanza sasa zimehamia rasmi eneo jipya kwa ajili ya kuwatumikia vizuri zaidi! Sasa tupo Red Cross ya zamani – Balewa Road, mkabala kabisa na Nyanza Shule ya Msingi. Karibu tukuhudumie kwa ubora ule ule… au zaidi! Kwa maelezo zaidi au maelekezo, usisite kutupigia au kututumia ujumbe. Tunakushukuru kwa kuendelea kuwa sehemu ya safari yetu. @hrdradiatorcompany @hrdradiatorcompany
Uongozi na wafanyakazi wa @hrdradiatorcompany wanawatakia waislam wote Tanzania Heri ya siku ya Eid-el-fitri.