Most liked photo of Rose Ndauka with over 49.9K likes is the following photo

We have around 32 most liked photos of Rose Ndauka with the thumbnails listed below. Click on any of them to view the full image along with its caption, like count, and a button to download the photo.
49.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Maswali yamekuwa mengi kwamba nipo chama gani,mbona kuhusu chama nilishasema sina chama na ndio maana hamjawahi kuniona kwenye jukwaa lolote Ila Mimi ni mtanzania ninaependa Haki na Amani kwahiyo sikubaliana na utekaji wa ndugu zetu au uonevu wowote unaoendelea………..#UtanzaniaKwanzaLikes : 49867
34.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Eheeee Mungu wangu moyo umepasuka sana kusikia taarifa za kifo chako,nakosa hata maneno ya kuandika rafiki yangu nahisi maumivu makali moyoni……pumzika kwa amani mpendwa wetu umeona umfate Mama mapema sana Poleni sana kwa familia,Mwenyezi Mungu awatie kwenye kipindi hiki…Likes : 34090
33.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Nilichojifunza Mimi kama msanii ambae nimefika hapa kwa support ya jamii inayonizunguka kwa kununua kazi zangu na kunifatilia,basi kwenye maisha ninayoisha hiyo jamiii inathamini kubwa kuliko kitu chochote na ni vyema nikaendelea kuwa nayo kwa shida na raha…….#Nitasimama upande wa Haki siku zote #MsaniiKiooChaJamiiLikes : 33262
32.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : If your God is money,then your poor to me….Finyoo Mungu wetu halaliLikes : 32655
28.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Kwasasa siwezi post chochote kuhusu biashara,tutaanza kupost kuhusu biashara jumatatu,Ahsanteni wote mnaonipigia na kunipa moyo….. Tukutane jumatatu 💔Likes : 28559
25.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Msanii wangu pendwa Africa @davido kama na wewe unampenda kama mimi mwaga makopa hapa ❤️❤️Likes : 25576
23.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : huyu kakaangu kabisaaaaaa kisha ni mngoni ana jicho la tatu 😄😄😄Migodi sita yote ya kwanguLikes : 23927
22.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : I really miss you Sis….💔💔 💔nimemiss simu zetu za kuongea ya ndani na kujadili vicheko ndio usiseme nakumic sana 😭😭😭😭 bado nakupenda sanaLikes : 22261
19.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Stay strong,God will Save you inshaallah ❤️ @mikachavalaLikes : 19326
18.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Seckta uhusika ambayo watu wanailalamikia sana kama nimeshindwa kuboresha basi ningejiuzulu…….. Ila pia kuna siku nilisema kusiwe na uchanguzi ili kusave hela nilisemwa sana mpaka nikashusha post yangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila nilimaanisha uchanguzi uwe huru na wagombea wote waridhike kuweza kupata viongozi wananchi tunaowataka…… Kuna siku nitatamani kupiga kura ila kwasasa…….#MunguNilindeMiminaFamiliayangu msiojulikane mkae mbali na mimi 🤣🤣🤣🤣Likes : 18680
18.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : 💔💔💔💔Likes : 18311
18.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Mungu pekee ndio mwenye kutoa hukumu ya haki…Bado siko sawa Mwenyezi Mungu naomba Ukamponye kila Mwenye maumivu kwenye kipendi hiki….Moyo umetumbukia nyongo nisafishe baba 🙏🏿Likes : 18121
16.5K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Eheee Mwenyezi Mungu tunaomba ututie nguvu,hata kupost kuhusu biashara huwezi unajiuliza unampostia nani na na kila mtu analia kuhusu ndugu zetu..? Mungu baba tuongoze kwenye kipindi hiki💔Likes : 16476
16.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsanteni sana wapenzi wangu kwa mapenzi yenu makubwa sana mliyonionyesha na mnayoendelea kunionyesha…. Ahsante Mama yangu kipenzi @mamamawigi wewe kweli ni Mama.. Mnisamahe siwezi pokea simu zote ila kwa kifupi tumepata ajali saa 11,30 alfajir tukiwa tunatoka Dar kwenda Tanga, Hakuna aliyepoteza uhai japo wote tumepata majeraha na kunaendelea na tiba Na kwa wale mnaoniomba niwekee namba kwa kunisupport mnaweza kutumia namba 255716995561 jina Rose Ndauka,.. Kwa atakayeona Pochi nyeusi Ina mistari stari Ina passport,hela pamoja na Simu Iphone 16….tunaomba atupigie kwa namba hiyo Tunapenda kutoa Shukrani za dhati kwa wale Watanzania tusio wafahamu lakini wametusaidia na kuhakikisha tunapata msaada mbarikiwe sana Bila Kusahau Askari police wa Michungwani waliotuokoa na kutupeleka Hospital…Likes : 16275
16.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Counting my blessings,Thank you God for this gifts,Dada Mkubwa @princessnaveen I am very proud of you I like the way you are taking care of young Brothers….Mungu walinde watoto Hawa ,❤️❤️❤️ @officialprincehaleem @haffiyyjrLikes : 16142
15.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Mwambieni dadaenu maisha yangu sio ya chokochoko,na siishi kufurahisha waja naishi kwa mipango yangu na kumtanguliza Mungu…….. Mchawi wewe sikupi jibu ili ikusaidie wapi hujamaliza,tafuta mwenyewe wapi bado ila nipo nilikuwepo na nitakuwepoooooo kwa namna yoyote ILEEEEEE #USWAHILINAUNAFIKISIOMAMBOYANGU #PELEKAMADERASABASABAACHASHOBOLikes : 15712
15.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Japo nacheka kwa tabu ila nimejikuta nacheka na kusikitika kwa wakati mmoja,ila Mama Sasha umesema yoyeeee @iamfaizaallyLikes : 15333
15.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : 💔💔💔💔nitakumiss sana rafiki yangu,ohooo Mungu wanguLikes : 15180
15.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : 💔💔💔💔nitakumiss sana rafiki yangu,ohooo Mungu wanguLikes : 15180
15.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : 💔💔💔💔nitakumiss sana rafiki yangu,ohooo Mungu wanguLikes : 15180
15.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : 💔💔💔💔nitakumiss sana rafiki yangu,ohooo Mungu wanguLikes : 15180
14.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsante sana dada kipenzi unaroho nzuri kama sura yako,Sina maneno mengi ya kusema ila kwako nadeka kama mtoto wa mwisho barikiwa sana dada ❤️❤️❤️ @esha.s.buheti Ahsanteni watanzania wote mnayoendelea kunisupport, Shukrani zangu za dhati kwenu wote 🙏🙏🙏Likes : 14170
13.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Kwani sh ngapi..?Likes : 13605
13K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Nilitamani sana kuchukua form niwe sauti ya wananchi Ila acha nisubiri katiba mpya au Mnasemaje… yaani ni ku copy na ku pasteLikes : 12970
11.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hivi ukiwa police lazima ufoke eheee hata kama mtu hajakosea kufoka ni lazima ehee….?Nauliza tu maana dah nahisi bado tuna au nina mengi ya kujifunza Nitalileta tena hapahapaLikes : 11347
11.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsante sana Mungu kwa kutuonekania siku zote ,🙏🙏🙏 Mimi na familia yangu @haffiyy @iamrachelndauka @ladiva_geee @esimon.ndaukaLikes : 11332
11.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsante sana Mungu kwa kutuonekania siku zote ,🙏🙏🙏 Mimi na familia yangu @haffiyy @iamrachelndauka @ladiva_geee @esimon.ndaukaLikes : 11332
11.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsante sana Mungu kwa kutuonekania siku zote ,🙏🙏🙏 Mimi na familia yangu @haffiyy @iamrachelndauka @ladiva_geee @esimon.ndaukaLikes : 11332
11K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : My twinie and Bff Mwenyezi Mungu anipe umri mrefu nikuongoze vyema,Nakupenda sana binti yangu ❤️❤️❤️❤️ @princessnaveenLikes : 10983
10.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : My beautiful family everything is going to be alright,inshaallah ❤️❤️❤️ @esha.s.buheti @akhamadwaziri_2Likes : 10858
10.8K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : You’re beautiful in and out ❤️❤️❤️just know that @esha.s.buheti Mungu huwa ashindanishwi na binadamuLikes : 10842































