Maswali yamekuwa mengi kwamba nipo chama gani,mbona kuhusu chama nilishasema sina chama na ndio maana hamjawahi kuniona kwenye jukwaa lolote Ila Mimi ni mtanzania ninaependa Haki na Amani kwahiyo sikubaliana na utekaji wa ndugu zetu au uonevu wowote unaoendelea………..#UtanzaniaKwanza
I really miss you Sis….💔💔 💔nimemiss simu zetu za kuongea ya ndani na kujadili vicheko ndio usiseme nakumic sana 😭😭😭😭 bado nakupenda sana
🙏🙏🙏
twende tukamsikilize kakaangu @naytrueboytz Hongera sana unaandika sana hata wewe una Mama nyumbani Pline
Shughuli imetoka kwa mjambaji imeamia kwa mnusaji 👌🏽😂😂🤣 ndiyo kwanza kumekucha. Stream #themommyclubtanzania kupitia #showmax #themommyclubtanzania #themommyclubtzshowmax #themommyclubshowmax #themommyclub
Hahhahahaha huu ni muonekano baada ya kutoka masokoni……Tuwe makini sana na binadamu tunaowaamini ❤️❤️❤️#MrsMkongwaa
Wenye nyumba wakigombana, wapangaji tuna 🤫🤐🤗 Stream #themommyclubtz on Showmax #themommyclubshowmax #themommyclubtz
❤️❤️❤️💯
Anaitwa Rose, ukipenda muite “Rose the rapper” na yeye ana mume wake mmoja tu😂hayo mengine sio shida zake, ni shida zenu😂🙌 Stream #TheMommyClubTanzania kila Ijumaa ndani ya showmax pekee🔥🔥🔥 #TheMommyClubTanzania #themommyclubtzshowmax #themommyclubshowmax #themommyclub
Hahahaahaha jamani week ya mnyama bado wanyama tunatamba ila mwenye hili ua ni uto 👯♀️wewe mwenye ua lako baki huko huko acha kwanza nitambe 🤣🤣🤣🤣🤣…..Tukutane @showmaxtanzania
Hahahhahahhaha jamaniii nawaambia Mimi Chocolate ni kiboko kama unataka kupunguza tumbo na mwili nicheck Whatsapp 0766181826
Hello wapenzi naomba mfollow Mama Sasha @iamfaizaally
Rapper Mommy @iamrosendauka huyu Askari mwenye miwani ndo yupi eti😂🙌🏽 Jiunge leo kwa kubonyeza link kwenye bio, jisajili kisha ulipie kupitia; ✅ Selcom Virtual card ✅ Kadi ya benki (Mastercard) ✅ Mpesa/ Airtel mastercard 🔥🔥 #stream #movies #showmax #latestmovies #themommyclub #themommyclubshowmax #themommyclubtzshowmax
Kesho Mummy’s club tunajambo letu,Niambie kama umepata nafasi ya kuangalia Episode yetu kwanza…?Na una nini cha kutuambia @showmaxtanzania
Ni mifumo gani umejiwekea nyumbani kwako ambayo mgeni akija lazima aifuate? maana hili drama la Rose na Mishy 🤭 Usikose kustream #newepisode leo ndani ya #ShowmaxOriginal pekee🔥🔥🔥 #themommyclubtzshowmax #Themommyclubshowmax #themommyclub #themommyclubtanzania
Toa Oda yako sasa nicheck Whatsapp 255766181826
Huhuhuhu mambo moto ndani ya @showmaxtanzania kama huna jitundike 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥 Mambo ndio kwanza yanaanza,ngoja nikae pembeni niitishe Juice.😎 ndani ya Show @showmaxtanzania
@haffiyy
Mambo mazuri yanaendelea Toa Oda yako 255766181826
Sisi hatuongei sana,Tunaacha kazi zionge…Tunza na Sisi injini yako @hrdradiatorcompany
Habari za Muda huu wapenzi wangu,haya kwa wale wanaotaka furniture za ofisini hii set yote nitakupa kwa 1,350,000/= Kama kikabati hutaki nitakupa kwa 1,100,000/= tu mazungumzo yapo nicheck 255716995561
Habari za Muda huu wapenzi wangu,haya kwa wale wanaotaka furniture za ofisini hii set yote nitakupa kwa 1,350,000/= Kama kikabati hutaki nitakupa kwa 1,100,000/= tu mazungumzo yapo nicheck 255716995561
Habari za Muda huu wapenzi wangu,haya kwa wale wanaotaka furniture za ofisini hii set yote nitakupa kwa 1,350,000/= Kama kikabati hutaki nitakupa kwa 1,100,000/= tu mazungumzo yapo nicheck 255716995561
Habari wateja wetu wapendwa! Tunakwenda kubadilisha rejeta ya gari hii ndogo aina ya Suzuki kutoka njia moja kwenda njia nne. Marekebisho haya yanaimarisha mfumo wa umeme wa gari, huongeza ufanisi, na kulinda vifaa dhidi ya madhara ya uchafu na kushindwa kupumua vizuri. Faida: • Usambazaji bora wa umeme • Uimara na ufanisi zaidi • Kulinda vifaa vya gari au mashine yako. Fika kwetu leo upate huduma bora kutoka kwa mafundi bingwa! @hrdradiatorcompany @hrdradiatorcompany Chagua ubora. Chagua sisi. #IntercoolerExperts #RejetaNaUbora #OilCoolerSolutions #DPFFilters #IamRoseNdauka #HeatExchangerMasters #AutomotiveExcellence #MondayInspiration #UboraUnaonekana #IamRoseNdauka #RejetaExperts #MondayEnergy