Rose Ndauka

Rose Ndauka Instagram – Maswali yamekuwa mengi kwamba nipo chama gani,mbona kuhusu chama nilishasema sina chama na ndio maana hamjawahi kuniona kwenye jukwaa lolote

Ila Mimi ni mtanzania ninaependa Haki na Amani kwahiyo sikubaliana na utekaji wa ndugu zetu au uonevu wowote unaoendelea………..#UtanzaniaKwanza | Posted on 08/Jun/2025 22:20:35

Rose Ndauka
Rose Ndauka

Check out the latest gallery of Rose Ndauka