Haya jamanii mambo ya Boxing day,Nipo na marafiki zangu wa kweli tunaenjoy❤️❤️❤️ #happyboxingday🎁
watu wangu wa nguvu fujo sio shida zetu,hapa tumeamua kufurahia siku ya Dada Naveen,Ahsante Baba wetu kwa kila kitu…❤️❤️❤️
With my best of the best ❤️❤️❤️ @princessnaveen
Nipo na vijana wangu tunajadili huu Mwak tuanze na nini baada ya kushangilia na kumshukuru Mungu kuona Mwaka 2026❤️❤️❤️….. Tumekubaliana hapa kazi juu ya kazi..
Yaani kuna namna ukiongozana na watoto na wewe unajikuta mtoto,Ehee Mungu bariki matumbo ya wanawake wote ❤️❤️❤️…..Niwatakie weekend njema
Siku hizi sichukizwi tena na watu ambao tunatofautiana ila nakuwa kama ohoooo tena na inakuwa imetoka hiyoooo….. Siku hizi hamnishtui 😆😆😆……Maisha rahisi sana ukijipenda wewe utapenda na wengine❤️❤️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nachoka mimi,Ebu mniagize bana
Hii ndio maana halisi ya ndugu sio lazima mzaliwe tumbo moja,nawapenda sana mara zote mnakuwa nami pale ninapo wahitaji ❤️❤️❤️Golden women’s ❤️❤️

Hawa wachina wananichosha,😀😀😀😀Wote tumekutana Kinge neinei 😀 Haya tukutane @ikuinvestment ukihitaji chochote nnicheck WhatsApp
Hawa wachina wananichosha,😀😀😀😀Wote tumekutana Kinge neinei 😀 Haya tukutane @ikuinvestment ukihitaji chochote nnicheck WhatsApp
Huu Mwaka nataka kufanya sana kazi,Kama kipindi cha miaka saba nyuma,hapo nilikuwa nafanya kazi hadi najionea huruma…Kidogo familia na malezi yalinifanya nipunguze speed.. Na wewe kama malengo yako ya Mwaka huu ni kufanya kazi sana,Ni muhimu na vyema kuna vitu kuvizingatia 1.Mtangulize Mwenyezi Mungu kwenye mipango yako. 2.Hakikisha Mipango yako na juhudi zako zinaendana. 3.Usilete mapenzi binafsi kwenye kazi(Hii itakuharibia kazi) 4.Ogopa anaejifanya kukupenda ili afanye kazi na wewe(inaweza kukucost) 5.Jitahidi kila baada ya muda flani kuhakiki unachokifanya 6.Kumbuka kwenye kutafuta kuna muda kuna kupoteza,ikiwa hivyo usipanick mshukuru Mungu maana yeye ana makusudi ya kila japo 7.kuhakikisha unafanya kazi kwa weledi ili wengi wavutiwe na kazi yako. 8.Hakikisha unalinda Thamani yako na unachokifanya.. 9.Fanya kazi,pambana usikate tamaa hakuna mafanikio yanayokuja kirahisi.USIKATE TAMAA 10.Mtangulize Mungu kila muda kila wakata(Maana sisi tunapanga na yeye anapanga)
Ohoo Baby ohooo baby ilikuwa shangwe na vigelegele,huzuni ilipotea kwenye maisha yangu.. Unyonge ukaondoka na Ujasiri ukaongezeka na hapo ndipo niligundua kuwa nina umuhimu hapa Duniani.. Moyoni mwangu nilijawa na furaha na kuanza kujua ni kweli Moyo wangu una mtu unampenda kweli bila ya kujiuliza mara mbili.. Naendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwaajili yako binti yangu,Nakupenda sana na najivunia wewe,Mungu akupe umri mrefu,afya tele na mafanikio yasiyo na kikomo… Naveen ni jina nilikupatia mwenyewe na lina maana kubwa sana kwangu……Happy birthday my Best of the best ❤️❤️❤️ @princessnaveen
Haya wapendwa wangu twende na kamseleleko,unataka nguo,viatu,mabegi nicheck 255766181826
Mungu awabariki wote tulioweza kufanya biashara kwa Mwaka huu nawapenda sana,Mnisamehe kwa sehemu yoyote ambapo nitakuwa nimekwenda tofauti…….Nitaendelea kuboresha huduma zetu zaidi @ikuinvestment Nyinyi ni zawadi kubwa sana kwangu,Mungu awaongezee pale mlipopunguza ❤️❤️❤️
Merry christmas to you my beautiful family,Christmas ni ya kwetu sote…..Mnikaribishe ❤️❤️ Maana kwetu hatujanunua mti 😀
You’re not too much,they are just used to less…..#goddid
Two days left natafuta mualiko ndugu zangu katika imani 😄
Back to work haya jamani mambo mazuri haya,Chochote unachopenda nicheck 255766181826 WhatsApp
Haya wapenzi ukipenda toa Oda yako kila kitu kwa 490,000/ hapo ni kabla ya usafiri….Nicheck WhatsApp 255766181826
Tupendezeshe nyumba zetu,mambo mazuri utapata hapa jamani kama umevyoona,usiende mbali na hii page,nicheck whatsApp 255766181826 unaweza follow account yetu @ikuinvestment