Rose Ndauka

Rose Ndauka Instagram – Ohoo Baby ohooo baby ilikuwa shangwe na vigelegele,huzuni ilipotea kwenye maisha yangu..

Unyonge ukaondoka na Ujasiri ukaongezeka na hapo ndipo niligundua kuwa nina umuhimu hapa Duniani..

Moyoni mwangu nilijawa na furaha na kuanza kujua ni kweli Moyo wangu una mtu unampenda kweli bila ya kujiuliza mara mbili..

Naendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwaajili yako binti yangu,Nakupenda sana na najivunia wewe,Mungu akupe umri mrefu,afya tele na mafanikio yasiyo na kikomo…

Naveen ni jina nilikupatia mwenyewe na lina maana kubwa sana kwangu……Happy birthday my Best of the best ❤️❤️❤️ @princessnaveen | Posted on 29/Dec/2025 11:54:34

Rose Ndauka
Rose Ndauka

Check out the latest gallery of Rose Ndauka