💔💔💔💔nitakumiss sana rafiki yangu,ohooo Mungu wangu
💔💔💔💔nitakumiss sana rafiki yangu,ohooo Mungu wangu
💔💔💔💔nitakumiss sana rafiki yangu,ohooo Mungu wangu
💔💔💔💔nitakumiss sana rafiki yangu,ohooo Mungu wangu
Kwani sh ngapi..?
You’re beautiful in and out ❤️❤️❤️just know that @esha.s.buheti Mungu huwa ashindanishwi na binadamu
Hakuna mwanadamu mwenye nguvu kumzidi mwenyezi Mungu Muumba wa vyote hata wale wanaotaka kuwa Miungu watu,Tunashukuru Mungu kwa kila hatua#roadto5yearsanniversary ❤️❤️❤️❤️ @haffiyy
Pumzika kwa amani kaka meneja wangu,Dah natamani kurudisha siku nyuma nikwambie chochote,nakupigia simu nataka kukuona kumbe huwezi hata kuongea na ndio unaondoka jamani Rama 💔😭😭😭
Last born wa Mamaangu 🤣🤣🤣🤣 nakupenda sana mdogo wa shida na raha,Milima na mabonde nakuombea maisha marefu kwakweli,Upendo na heshima yako itakufikisha mbali ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ @esimon_ndauka Ila yule wifi simtaki 🤣🤣🤣🤣sijui nimblock 🤣

🥾🥾🥾 ❤️❤️❤️
Glamorous Mommys are finally on your screen🤩🥳#TheMommyClubTanzania ni reality show inayoonyesha uhalisia wa maisha ya Tanzania’s Finest Mommys kwenye malezi ya watoto wao na maisha yao kiujumla😊🔥 Usikose leo kustream sehemu ya kwanza ya show hii ndani ya showmax pekee🔥🔥🔥 #themommyclubtzshowmax #themommyclubshowmax #themommyclub #themommyclubtanzania
Gone too soon Rama 💔💔
Waiiiiiiite waite waite Dar_es_salaam,Mwanza,Geita,Shinyanga,Kahama,Musoma,Bukoba,Arusha,Mbeya yaani huduma zetu zinapatikana mikoa yote Tanzania kama wewe unasumbuliwa na Rejeta Njoo kwa Madaktari Bingwa @hrdradiatorcompany @hrdradiatorcompany
Kheri siku ya wanawake wote Duniani,hata wewe mwanamke ambaye hujui uanzie wapi kuna siku Mungu atakugusa na utanyanyuka na kupambana kwaajili ya wale wote wanakuzunguka na kutegemea unapaswa kujua wewe ni wathamani ❤️❤️❤️
Mama wewe ni mtu muhimu ambae hajawahi kutokea kwenye maisha yangu nakupenda sana,Natamani vitu vingi sana vitoke na uvipate. Ila kikubwa naomba Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu na afya tele,Niendelee kufurahi uwepo wako Kipenzi cha watoto wangu❤️❤️❤️#MamaRoseeeeeee
Ndugu Daniel chonchorio nyamhanga mwenye umri wa miaka 46 amepotea katika Mazingira ya kutananisha. Daniel ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, na Mfanyabiashara. Mnamo siku ya jumapili tarehe 23 march Daniel chonchorio nyamohanga alipotea katika mazingira ya kutatanisha. Aliondoka kwenda kufanya jogging na mpaka sasa hajarejea. Baada ya muda familia iliingia wasiwasi kwa kutoweka kwake na kwenda kutoa taarifa polisi. Tukiwa tunasubiri jeshi la polisi lifanye kazi yake. Familia inaomba yeyote atakae muona atoe taarifa Namba za simu: 255 767 456 191 lucy mrimi (dada yake) 255 765 862 862 mrimi (ndugu)
Ohooooo Ahsante Mwenyezi kwaajili ya dada yangu,Naomba mpatie baraka na mafanikio makubwa….Nakupenda Nyapala ❤️❤️❤️ Happy birthday my dear Sis
Ahsante Mwenyezi Mungu tunaenda kufunga Mwaka,Huu Mwaka ulikuwa ni Mwaka wa maumivu makubwa na majaribu mengi ila nakushukuru Mungu umenipa ujasiri na kukushukuru kwenye kila jambo,Naomba 2026 Ukawe Mwaka wa baraka na neema bila kikomo ❤️❤️❤️…….. Ninapoelekea kuendelea kuwa mtu mzima,Mwenyezi Mungu niongezee hekima na busara nipunguzie na kuniondolea kabisa vitimbi 😀😀😀😀😀😂
Kheri ya siku ya kuzaliwa Kiongozi wangu mpendwa na mwenye maono makubwa,Mwenyezi Mungu aendelee kuwa nguzo kwenye safari yako na akubariki kwenye kila unalolitaka,Nakupenda sana ulivyomkarimu mwenye hekima na busara ya juu…..nakuombea safari yenye mafanikio ya juu ❤️❤️❤️ @ngwasi_kamani @ngwasi_kamani
Madaktari bingwa wala Rejeta Nchini Tanzania @hrdradiatorcompany
Nikisema hizi dawa kiboko muwe mnanielewa,haya kama kilo ni tatizo unashindwa kuwa mrembo nicheck Whatsapp 255766181826 my wangu kama tuliyoongea ni mwendo wa kurudi utotoni @Lokesena_beads