Rose Ndauka

Rose Ndauka Instagram – Mama wewe ni mtu muhimu ambae hajawahi kutokea kwenye maisha yangu nakupenda sana,Natamani vitu vingi sana vitoke na uvipate.

Ila kikubwa naomba Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu na afya tele,Niendelee kufurahi uwepo wako

Kipenzi cha watoto wangu❤️❤️❤️#MamaRoseeeeeee | Posted on 31/Dec/2025 20:24:09

Rose Ndauka
Rose Ndauka

Check out the latest gallery of Rose Ndauka