Rose Ndauka Instagram – Ahsante Mwenyezi Mungu tunaenda kufunga Mwaka,Huu Mwaka ulikuwa ni Mwaka wa maumivu makubwa na majaribu mengi ila nakushukuru Mungu umenipa ujasiri na kukushukuru kwenye kila jambo,Naomba 2026 Ukawe Mwaka wa baraka na neema bila kikomo ❤️❤️❤️……..
Ninapoelekea kuendelea kuwa mtu mzima,Mwenyezi Mungu niongezee hekima na busara nipunguzie na kuniondolea kabisa vitimbi 😀😀😀😀😀😂 | Posted on 31/Dec/2025 16:34:02


