Rose Ndauka

Rose Ndauka Instagram – Ndugu Daniel chonchorio nyamhanga mwenye umri wa miaka 46 amepotea katika Mazingira ya kutananisha. Daniel ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, na Mfanyabiashara.

Mnamo siku ya jumapili tarehe 23 march Daniel chonchorio nyamohanga alipotea katika mazingira ya kutatanisha. Aliondoka kwenda kufanya jogging na mpaka sasa hajarejea.

Baada ya muda familia iliingia wasiwasi kwa kutoweka kwake na kwenda kutoa taarifa polisi.

Tukiwa tunasubiri jeshi la polisi lifanye kazi yake. Familia inaomba yeyote atakae muona atoe taarifa Namba za simu: 255 767 456 191 lucy mrimi (dada yake)
255 765 862 862 mrimi (ndugu) | Posted on 28/Mar/2025 16:29:19

Rose Ndauka
Rose Ndauka

Check out the latest gallery of Rose Ndauka