Rose Ndauka Instagram – Kheri ya siku ya kuzaliwa Kiongozi wangu mpendwa na mwenye maono makubwa,Mwenyezi Mungu aendelee kuwa nguzo kwenye safari yako na akubariki kwenye kila unalolitaka,Nakupenda sana ulivyomkarimu mwenye hekima na busara ya juu…..nakuombea safari yenye mafanikio ya juu ❤️❤️❤️ @ngwasi_kamani @ngwasi_kamani | Posted on 28/Mar/2025 14:49:30
Check out the latest gallery of Rose Ndauka



