Most liked photo of Rose Ndauka with over 52.4K likes is the following photo

We have around 101 most liked photos of Rose Ndauka with the thumbnails listed below. Click on any of them to view the full image along with its caption, like count, and a button to download the photo.
52.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Sina Chama chochote lakini nipo huru kutoa maoni yangu,Wewe kaka acha kunifatilia wewe kula hela za watu lakini achana na mtu Mimi,mbona ni mtu mdogo tu Mbaya zaidi siku nikifa utataka kuja mbele kuwa mstari wa mbele….Niache Swipe leftLikes : 52360

49.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Maswali yamekuwa mengi kwamba nipo chama gani,mbona kuhusu chama nilishasema sina chama na ndio maana hamjawahi kuniona kwenye jukwaa lolote Ila Mimi ni mtanzania ninaependa Haki na Amani kwahiyo sikubaliana na utekaji wa ndugu zetu au uonevu wowote unaoendelea………..#UtanzaniaKwanzaLikes : 49867
34.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Eheeee Mungu wangu moyo umepasuka sana kusikia taarifa za kifo chako,nakosa hata maneno ya kuandika rafiki yangu nahisi maumivu makali moyoni……pumzika kwa amani mpendwa wetu umeona umfate Mama mapema sana Poleni sana kwa familia,Mwenyezi Mungu awatie kwenye kipindi hiki…Likes : 34090
33.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Nilichojifunza Mimi kama msanii ambae nimefika hapa kwa support ya jamii inayonizunguka kwa kununua kazi zangu na kunifatilia,basi kwenye maisha ninayoisha hiyo jamiii inathamini kubwa kuliko kitu chochote na ni vyema nikaendelea kuwa nayo kwa shida na raha…….#Nitasimama upande wa Haki siku zote #MsaniiKiooChaJamiiLikes : 33262
32.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : If your God is money,then your poor to me….Finyoo Mungu wetu halaliLikes : 32655
28.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Kwasasa siwezi post chochote kuhusu biashara,tutaanza kupost kuhusu biashara jumatatu,Ahsanteni wote mnaonipigia na kunipa moyo….. Tukutane jumatatu 💔Likes : 28559
25.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Msanii wangu pendwa Africa @davido kama na wewe unampenda kama mimi mwaga makopa hapa ❤️❤️Likes : 25576
24.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : nimeshare hii maana natamani Tanzania tungefung a camera kila kona kuweza kusaidia Wananchi wake kuwajua wahalifu lakini pia labda ingepunguza utekeji wa holela na kufanya kuwa na Nchi salama na yenye Amani zaidi…..Nawapenda sana endelea kutoa Oda yako kupitia 255766181826 nicheck WhatsAppLikes : 24146
23.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : huyu kakaangu kabisaaaaaa kisha ni mngoni ana jicho la tatu 😄😄😄Migodi sita yote ya kwanguLikes : 23927
22.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : I really miss you Sis….💔💔 💔nimemiss simu zetu za kuongea ya ndani na kujadili vicheko ndio usiseme nakumic sana 😭😭😭😭 bado nakupenda sanaLikes : 22261
19.5K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Wallah kuna vitu vinakufanya upunguze mawazo,tunaendelea tulipoisha follow @ikuinvestment tuachane na yote washikaji wanajua bwana GenzzzzzzzLikes : 19451
19.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Stay strong,God will Save you inshaallah ❤️ @mikachavalaLikes : 19326
18.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Seckta uhusika ambayo watu wanailalamikia sana kama nimeshindwa kuboresha basi ningejiuzulu…….. Ila pia kuna siku nilisema kusiwe na uchanguzi ili kusave hela nilisemwa sana mpaka nikashusha post yangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila nilimaanisha uchanguzi uwe huru na wagombea wote waridhike kuweza kupata viongozi wananchi tunaowataka…… Kuna siku nitatamani kupiga kura ila kwasasa…….#MunguNilindeMiminaFamiliayangu msiojulikane mkae mbali na mimi 🤣🤣🤣🤣Likes : 18680
18.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : 💔💔💔💔Likes : 18311
18.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Mungu pekee ndio mwenye kutoa hukumu ya haki…Bado siko sawa Mwenyezi Mungu naomba Ukamponye kila Mwenye maumivu kwenye kipendi hiki….Moyo umetumbukia nyongo nisafishe baba 🙏🏿Likes : 18121
17K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Amani Iko wapi….?Haki ipo wapi…?Tunahukumiwa na wanaotakiwa kutulinda tumeisha sisi 😭😭😭😭Likes : 16981
16.5K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Eheee Mwenyezi Mungu tunaomba ututie nguvu,hata kupost kuhusu biashara huwezi unajiuliza unampostia nani na na kila mtu analia kuhusu ndugu zetu..? Mungu baba tuongoze kwenye kipindi hiki💔Likes : 16476
16.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsanteni sana wapenzi wangu kwa mapenzi yenu makubwa sana mliyonionyesha na mnayoendelea kunionyesha…. Ahsante Mama yangu kipenzi @mamamawigi wewe kweli ni Mama.. Mnisamahe siwezi pokea simu zote ila kwa kifupi tumepata ajali saa 11,30 alfajir tukiwa tunatoka Dar kwenda Tanga, Hakuna aliyepoteza uhai japo wote tumepata majeraha na kunaendelea na tiba Na kwa wale mnaoniomba niwekee namba kwa kunisupport mnaweza kutumia namba 255716995561 jina Rose Ndauka,.. Kwa atakayeona Pochi nyeusi Ina mistari stari Ina passport,hela pamoja na Simu Iphone 16….tunaomba atupigie kwa namba hiyo Tunapenda kutoa Shukrani za dhati kwa wale Watanzania tusio wafahamu lakini wametusaidia na kuhakikisha tunapata msaada mbarikiwe sana Bila Kusahau Askari police wa Michungwani waliotuokoa na kutupeleka Hospital…Likes : 16275

16.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Counting my blessings,Thank you God for this gifts,Dada Mkubwa @princessnaveen I am very proud of you I like the way you are taking care of young Brothers….Mungu walinde watoto Hawa ,❤️❤️❤️ @officialprincehaleem @haffiyyjrLikes : 16142
15.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Mwambieni dadaenu maisha yangu sio ya chokochoko,na siishi kufurahisha waja naishi kwa mipango yangu na kumtanguliza Mungu…….. Mchawi wewe sikupi jibu ili ikusaidie wapi hujamaliza,tafuta mwenyewe wapi bado ila nipo nilikuwepo na nitakuwepoooooo kwa namna yoyote ILEEEEEE #USWAHILINAUNAFIKISIOMAMBOYANGU #PELEKAMADERASABASABAACHASHOBOLikes : 15712
15.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Japo nacheka kwa tabu ila nimejikuta nacheka na kusikitika kwa wakati mmoja,ila Mama Sasha umesema yoyeeee @iamfaizaallyLikes : 15333
15.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : 💔💔💔💔nitakumiss sana rafiki yangu,ohooo Mungu wanguLikes : 15180

14.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsante sana dada kipenzi unaroho nzuri kama sura yako,Sina maneno mengi ya kusema ila kwako nadeka kama mtoto wa mwisho barikiwa sana dada ❤️❤️❤️ @esha.s.buheti Ahsanteni watanzania wote mnayoendelea kunisupport, Shukrani zangu za dhati kwenu wote 🙏🙏🙏Likes : 14170
13.8K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Eheeee Mungu usingizi umekata,nafsi imechoka Moyo unauma tunaomba uponyaji wako baba…..Likes : 13756
13.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Kwani sh ngapi..?Likes : 13605
13K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Nilitamani sana kuchukua form niwe sauti ya wananchi Ila acha nisubiri katiba mpya au Mnasemaje… yaani ni ku copy na ku pasteLikes : 12970
12.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hongera mdogo wangu huu wimbo unaponya Mioyo ya watu walioumia ❤️#Nisaidieni KumtagLikes : 12388
11.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hivi ukiwa police lazima ufoke eheee hata kama mtu hajakosea kufoka ni lazima ehee….?Nauliza tu maana dah nahisi bado tuna au nina mengi ya kujifunza Nitalileta tena hapahapaLikes : 11347
11.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsante sana Mungu kwa kutuonekania siku zote ,🙏🙏🙏 Mimi na familia yangu @haffiyy @iamrachelndauka @ladiva_geee @esimon.ndaukaLikes : 11332

11.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : hii ilinipita 😄,twende kwa Page yetu ya biashara @ikuinvestmentLikes : 11230
11K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : My twinie and Bff Mwenyezi Mungu anipe umri mrefu nikuongoze vyema,Nakupenda sana binti yangu ❤️❤️❤️❤️ @princessnaveenLikes : 10983
10.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : My beautiful family everything is going to be alright,inshaallah ❤️❤️❤️ @esha.s.buheti @akhamadwaziri_2Likes : 10858
10.8K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : You’re beautiful in and out ❤️❤️❤️just know that @esha.s.buheti Mungu huwa ashindanishwi na binadamuLikes : 10842
10.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Dah kuna mambo yanaumiza moyo kila ukijaribu kutafakari huwezi pata jibu,kimbilio ni wewe baba 🙏🏿🙏🏿Likes : 10726
10.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Naongea sababu nimechokaaaaaaLikes : 10723
10.5K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Kadri siku zinavyozidi kwenda nagundua maisha yangu yanazidi kuwa rahisi sababu yako,sitaki wala sifikiri maisha bila wewe yatakuwaje maana tayari nishapita huko,Namuomba Mungu akupe umri mrefu akuzidishie hekima na busara uliyokuwa nayo….. Nakupenda sana Mume wangu hata neno lenyewe halitoshi kueleza hisia zangu kwako,kwenye siku hii ya leo tunaposherekea kuongezeka kwa namba kwenye umri wako,namuomba Mungu azidi kujidhirihisha kupitia mahitaji yako…. Uendelee kuwa Mume na Baba bora tunaemjua kila siku ❤️❤️❤️,Mapenzi ya kutosha kwako sababu ya mapenzi unayotuonyesha mimi na watoto wetu….. Kheri ya siku kuzaliwa Hubby,kipenzi changu rafiki yangu kipenzi ❤️❤️❤️ @haffiyyLikes : 10530

10.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : 🙏🙏🙏Likes : 10365
10.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : twende tukamsikilize kakaangu @naytrueboytz Hongera sana unaandika sana hata wewe una Mama nyumbani PlineLikes : 10078
9.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Uoga ukizidi unazaa ujinga na ujinga ukizidi unazaa uzuzu,yaani bora ujinga kuliko Uzuzu……Mwenyezi Mungu nisaidie nisiwe mmoja wa MazuzuLikes : 9932
9.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsanteni sana ndugu zangu wa Ig mapenzi mengi sana kwenu💙💙,Mimi Niko poawa kabisaaaaa na kuhusu wale wanatakiwa kwenda kutuwakilisha huko nje wala tusiwe n wasiwasi tumeshawazoea hawachukui kombe lolote na hela zetu zitarudi 😀😀😀😀Likes : 9602
9.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Haya jamanii mambo ya Boxing day,Nipo na marafiki zangu wa kweli tunaenjoy❤️❤️❤️ #happyboxingday🎁Likes : 9382
8.8K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Dunia inatisha sana ,kuna mtu una muamini kumbe ulikosea.. Kwenye haya maisha tuna hitaji sana Mwenyezi Mungu atusimamie kila saa kila wakati,kwenye Dunia hii yenye mambo mengi wewe changua machache…. #NamtafutaalitungamsemowaSiasamchezomchafuLikes : 8782
8.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Pumzika salama Dada yangu Kipenzi,umetufingulia njia kwenye tumbo la Mama na sasa umeamua kutuacha tutakukumbuka Daima ….💔💔💔Ummy ChiiiiiiiiiLikes : 8289
8.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Shughuli imetoka kwa mjambaji imeamia kwa mnusaji 👌🏽😂😂🤣 ndiyo kwanza kumekucha. Stream #themommyclubtanzania kupitia #showmax #themommyclubtanzania #themommyclubtzshowmax #themommyclubshowmax #themommyclubLikes : 8224
8.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hakuna mwanadamu mwenye nguvu kumzidi mwenyezi Mungu Muumba wa vyote hata wale wanaotaka kuwa Miungu watu,Tunashukuru Mungu kwa kila hatua#roadto5yearsanniversary ❤️❤️❤️❤️ @haffiyyLikes : 8157
8.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hahahhaha hapa nilikuwa bado sijaanza kutumia Chocolate, Chocolate zimewez bwana Toa Oda yako sasa … Haya mpo Tayari kwa EBU msimu wa Pili….?Tujikumbushe EBU ni Nini .?ELIMU BIASHARA NA UTALII… Ofa kwa shabiki yangu mmoja ambae ni mfanyabishara na anatamani kweli kuwepo kwenye msimu wa Pili,Niambie EBU Msimu wa kwanza ilifanyika Mkoa Gani tarehe na siku bila Kusahau mngeni wetu alikuwa nani….? @elimubiasharautaliiLikes : 8057
7.8K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hahhahahaha huu ni muonekano baada ya kutoka masokoni……Tuwe makini sana na binadamu tunaowaamini ❤️❤️❤️#MrsMkongwaaLikes : 7757
7.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ehee bwana teta nao wanaoteta nami,pigana nao wanaopigana nami,uwashambulie hao wanaonishambulia.. Utwae ngao yako na kingio lako unuke uje unisaidie… Waone haya na waabike hao wanaonyemelea maisha yako.. Njia Yao iwe giza na utelezi…. Ahsanteni wote kwa mapenzi yenu ❤️❤️🙏Likes : 7710
7.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Habari za jioni wapendwa wangu kwa wale wangependa kuona bidhaa tafadhali….Follow follow @ikuinvestment @ikuinvestmentLikes : 7360
6.8K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Nawatakie kheri kina Mama wote Duniani,Mwenyezi Mungu atusimamie na kutuongoza vyema tuweze kujenga vizuri Taifa la kesho ❤️❤️❤️#NajivuniakuwaMamaLikes : 6788

6.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Wenye nyumba wakigombana, wapangaji tuna 🤫🤐🤗 Stream #themommyclubtz on Showmax #themommyclubshowmax #themommyclubtzLikes : 6415
6.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Mr & Mrs Mkongwa katika vile naomba Mungu ni akupe umri mrefu na baraka tele… Mwenyezi Mungu aendelee kukufanya kuwa Furaha na amani kwenye maisha yetu.. Nakupenda sana rafiki yangu kipenzi ❤️❤️ @haffiyy My beautiful dress @isariaclothingboutiqueLikes : 6411
6.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Kijijini kwa Mama yangu ❤️❤️❤️❤️Likes : 6373
6.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Asante Mwenyezi Mungu kwa baraka hii,kidogo chetu na zimeridhika nafsi zetu @haffiyy @princessnaveen @officialprincehaleem @haffiyyjr ❤️❤️❤️❤️❤️ Hii inanitosha MimiLikes : 6318
6.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : watu wangu wa nguvu fujo sio shida zetu,hapa tumeamua kufurahia siku ya Dada Naveen,Ahsante Baba wetu kwa kila kitu…❤️❤️❤️Likes : 6151
6.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Things will never be the same,But inshaallah God he will show us a way💔💔💔Likes : 6091
6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : kuna vitu ukipunguza na akili pia inapungua,na kama ulikuwa unazo kiasi basi ndio unabaki empty kabisaaaaa😂Bariki AmeenLikes : 6047
5.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hongerani sana watoto wangu wazuri,washikaji zangu kabisa,Historia imeandikwa,Japo Mum Rose hakushuhudia but we made it 😂😂😂 Mungu aendelee kuwa muongozo kwenye safari yenu, nawapenda sana ❤️❤️❤️Likes : 5941

5.8K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Waliotufagilia wakauza mafagio,Tajiri hamjua masikini au tuseme hivi aliyeshiba hamjui mwenye njaa#2008Likes : 5827
5.8K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Wahenga wenzangu mnaendeleaje huko..???❤️Kuanza umri gani ndio uwe Muhenga 😄😆😄Likes : 5770
5.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahaaaa kwa sasa ngoja niachane na mpira,Maana hawa simba na yanga washanichosha akili…..na nikisema nishabikie team ya Mkoa wangu team ya majimaji hawachezi ligi kuu …….Ngoja tu ninywe zangu Juice 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Likes : 5659
5.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ukiona naweza kukuface na kukwambia kile unachonikwaza fahamu tu nikwasababu nakupenda la sivyo huwa sipotezi muda wala nguvu za kwa mtu nisiye mpenda,Tuendelee kufatilia Show yetu pendwa Mummy Club @showmaxtanzaniaLikes : 5378
5.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Ahsanteni wote mlinipigia simu na kunipa pole kwa changamoto ninazopitia,Tuko pamoja naamini Mungu atatenda na ofisi yangu Mwanza itafunguliwa na kuendelea na mapamabano kama kawaida…. Wewe ambae utanataka kutoa Oda nicheck Whatsapp 255766181826Likes : 5335
5.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Saa itakuaje Mawinga tunatakiwa kulipia Kodi uwiiii,online media punguzeni kuwahoji Mawinga mnatucost 🤣🤣🤣 Haya jamani nishapost mambo mazuri insta story wahi sasa Toa Oda yako kwa namba 255766181826Likes : 5162
5.1K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Pumzika kwa amani kaka meneja wangu,Dah natamani kurudisha siku nyuma nikwambie chochote,nakupigia simu nataka kukuona kumbe huwezi hata kuongea na ndio unaondoka jamani Rama 💔😭😭😭Likes : 5084
5K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : ❤️❤️❤️💯Likes : 4950
4.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : mtu mzima akivuliwa nguo uchutama,ungekaa kimya sanaa ya kuuza watu unayo ila mengine kila mtu abaki na anachoamini….Life goes onLikes : 4876
4.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Muogope sana mtu mwenye sura mbili……..Muombe sana Mungu akushindie vita ya Gizani 🙏#MtotowaMamaangu ❤️Likes : 4636
4.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hard times test you not kill you,hard times prepare you not punish you,hard times build not break you…Appreciate every situation you’re going through 🙏🏿Likes : 4610
4.5K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hatanashindwa kuhesabu miaka maana kila siku ni kama jana na kuongezeka zaidi,ninachojua ni kwamba nakuhitaji wewe na nakuhitaji zaidi 😋Naomba Mwenyezi Mungu akupe afya njema na baraka tele @haffiyy na sio mitano tena sasa ni one hundred kwa uwezo waka Allah 💯 ❤️❤️❤️#happyfiveyearsanniversary❤❤❤Likes : 4477

4.4K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hii kesi ipo mahakamani ila baada ya alhamis,nitakuja kushare story kidogo ili iwe fundisho kwa wengine…..Usimuamini Binadamu Mwenyezi Mungu wewe ndio mwenye kujua UkweliLikes : 4408
4.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Tumtegemee Mungu kwenye kila jambo 🙏🏿🙏🏿Likes : 4317
4.3K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Kuna muda unajiuliza watu wanahitaji nini hupati jibu….Basi mngeukie Mungu na yeye atakupa majibu na kukuweka SAWA 🌍Likes : 4258
4.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : My greatest treasure is my Family,We may not be perfect but i love them with all my heart ❤️ ❤️Likes : 4194
4.2K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Hello ni siku nyengine Tena, tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuamsha salama… Mwenyezi Mungu akawafungulie Milango ya kheri na baraka kwenye week hii mpya 🙏 Wewe ambae unataka kutoa Oda nicheck 255766181826Likes : 4152
3.9K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Eid Mubarak kutoka pande hizi kwa Bibi raha jamanii,Hongera mwanangu @officialprincehaleem nakupenda sana ❤️❤️❤️Likes : 3899
3.8K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : With my best of the best ❤️❤️❤️ @princessnaveenLikes : 3781
3.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : 😀😀😀😀wewe hakikisha unapenda unachokifanya,Mimi napenda kuwahudumia watanzania wenzangu,jamaniii wewe kama bado hujatoa Oda hakilisha unanicheck Whatsapp 255766181826 na utoe Oda yakoLikes : 3736
3.7K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Na huu ndio ule ubuyu wenye vibes za mamtoni😋🤩🔥 Your favorite Moms will soon be on your screen🤩It’s about to get hotttt🔥are you readyyyy😎🔥🔥🔥???? #mommyclub #MommyclubTZ #mommyclubshowmaxLikes : 3676
3.6K Likes – Rose Ndauka Instagram
Caption : Last born wa Mamaangu 🤣🤣🤣🤣 nakupenda sana mdogo wa shida na raha,Milima na mabonde nakuombea maisha marefu kwakweli,Upendo na heshima yako itakufikisha mbali ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ @esimon_ndauka Ila yule wifi simtaki 🤣🤣🤣🤣sijui nimblock 🤣Likes : 3607