Jokate Mwegelo Instagram – Pic of the day leo Muheza, Mhe Rais alimwachia huyu binti kiti chake baada ya kuelezea kwa umahiri mkubwa miradi mbalimbali iliyotekelezwa na serikali ya Awamu ya Sita.
Nasubiri video ya huyu binti ni-share humu, aliongea vizuri mno tena kwa kiingereza na ni mwanafunzi wa form two wa shule ya serikali ya Magilla.
@ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @uvccm_tz | Posted on 27/Feb/2025 16:39:24



