Jana usiku nilipata fursa adhimu ya kuwa Mgeni Rasmi kwenye tuzo za kwanza na za ki historia za @yangasc_princess Awards Gala chini ya @yangasc kwa udhamini mkubwa wa @gsmgroupofcompanies Pamoja na mengi niliyoyasema jana niliwasihi ndugu zangu @caamil_88 na @malza12 tucheze tu au mnasemaje ndugu zangu? Kiroho safi kabisa 😁

Hii clip nilirekodi na ndugu yangu @coy_mzungu wa @cheka.tu mwaka jana mwishoni nikimpa maua yake kwa namna ambavyo ameongezea thamani tasnia hii ya “comedy”. Kwasisi vijana wapambanaji wa fursa za maisha, wenye ku-push mpaka jambo liende na kusema hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke tukimuamini Mungu wetu tumefurahia mnooo jambo la jana. Mhe Rais @samia_suluhu_hassan ameendela kuonesha kwa vitendo namna anawathamini vijana wa Kitanzania wenye uwezo na vipaji vyao. Nitumie fursa hii kupongeza wote waliofanikisha tuzo za kwanza za komedi tukiongozwa na Mhe Waziri Palamagamba na team nzima @mwanafa @gersonmsigwa @ommydimpoz @ecejay @basata.tanzania @wizara_sanaatz Honorary Mention iende ka ndugu yangu @saidsaid._ ila wewe ndio genius wa jana na kweli wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, always 💚
Kicheko Cha Mama Na Vijana wake wa Kazi 🙂↔️ Kama anavyosema ndugu yangu mchekeshaji mahiri @saidsaid._ wakati wa Mungu ni wakati sahihi!!! Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Tanga ikiwa tumeingia siku ya pili imekua na mafanikio makubwa na motisha kwetu Vijana wa CCM. Hapa ni baada ya Kuzima Zote Na Kuwasha Kijana Wilaya ya Korogwe- home kabisa!!! Tunatambua kazi kubwa unayofanya kwa Taifa letu na ndio maana wakati wote Vijana tumekua mstari wa mbele kuitetea Imani ya CCM na Serikali yako. Tunakushukuru sana Mhe. Rais kwa kuendelea kutuamini sisi Vijana, nasi tunakuahidi kuwa tutaendelea kukuunga mkono na kusimama bega kwa bega na wewe kuhakikisha kuwa Uchaguzi Mkuu huu wa 2025 tunashinda kwa kishindo.

Pic of the day leo Muheza, Mhe Rais alimwachia huyu binti kiti chake baada ya kuelezea kwa umahiri mkubwa miradi mbalimbali iliyotekelezwa na serikali ya Awamu ya Sita. Nasubiri video ya huyu binti ni-share humu, aliongea vizuri mno tena kwa kiingereza na ni mwanafunzi wa form two wa shule ya serikali ya Magilla. @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @uvccm_tz
AMA kweli TANGA RAHA 🙌🏽
It’s Green Season 💚 TANGA SAMIA KAZIMA ZOTE KAWASHA KIJANI 🙂↔️

Leo tuko Muheza na Mhe Rais @samia_suluhu_hassan 👋🏽 Tanga Mpoooo?!?

Jioni ya leo, Tanga Mjini. VIJANA 💚 @ccmtanzania @uvccm_tz

Tanga mama ana enjoy tu kupepewa na chai ya nazi miradi imetekelezwa na wananchi wamefurika kumsikiliza sio mijini sio vijijini…….
Vijana wa @comrade_kawaida wa moto sana msimu huu, ni mwendo wa simu tu kwa mama @samia_suluhu_hassan 📞 Hongera sana Mkoa wa Tanga hamasa ya vijana ni kubwa mno @cde_ramadhani @birumo_dr @jessicamshama @ashlovetz5 💚💚💚💚
Picha kali kutoka kwa ndugu yangu kabisa @kasampaida 💚