Queens and Kings were born in MARCH. 20.03 special thanks to MR & MRS URBAN COSTANTINE NDUNGURU— wazazi wangu 😍 Happy Birthday to me, Jojo aka JUM ♥️

Jana usiku nilipata fursa adhimu ya kuwa Mgeni Rasmi kwenye tuzo za kwanza na za ki historia za @yangasc_princess Awards Gala chini ya @yangasc kwa udhamini mkubwa wa @gsmgroupofcompanies Pamoja na mengi niliyoyasema jana niliwasihi ndugu zangu @caamil_88 na @malza12 tucheze tu au mnasemaje ndugu zangu? Kiroho safi kabisa 😁

Still on that MARCH energy. I carry God so I fear nothing 🫶🏽 📸 by my fave @20r_touchez
Abaya au Kijora …..?!?
I was honored to represent Tanzania at CSW69- the 69th Commission on the Status of Women at the UN Head Quaters in New York as part of @club_de_madrid High Level Delegation. I had the privilege of speaking on multiple panels, sharing my journey as a young woman leader while addressing critical issues shaping the future of women and youth. From AI and technology to women’s leadership in politics and business, I highlighted how mentorship, economic opportunities, work-life balance and digital transformation can empower the next generation. We must shift gender narratives, implement bold policies, and create real access to resources for women to thrive! Proud to have shared the stage with the First Woman President of Chile who also happens to be the first Executive Director of UN Women and also former United Nations High Commissioner for Human Rights and current Vice President of @club_de_madrid Madam Michelle Bachelet and the current @unwomen Executive Director Ms. Sima Bahous, Executive Director of @gwlvoices and President of the 73rd UN General Assembly Ms. Maria Fernanda Espinosa, Ministers from Spain, Slovenia, Greece, the Permanent Representative of Greece to the UN, Women’s International Forum (WIF) representatives, and many others—all driving meaningful change. I attended bilateral meetings with permanent representatives from Philippines, Japan, Chile, Norway, and with the Secretary General of the @unitednations Tanzania’s progress is inspiring, but our work continues. Let’s not just reflect on 30 years since Beijing—let’s shape the next 30 by accelerating action! #CSW69 #TanzaniaToTheWorld #WomenInLeadership #Beijing30 #EmpoweringYouth #EconomicOpportunity
Wana-thiiiiiimbaaaaaaa @ahmedally_ Hongereni sana si haba 🦁
Nikiwa mtumishi kisarawe nilitembelewa na vijana zaidi ya elfu mbili kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM walifika kwa kujitolea kwenye kazi za kijamii. Vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kujipanga na kujitoa kwa maslahi mapana ya nchi yao. Vijana wa Tanzania ni wazalendo sana 🙌🏽
Eid Mubarak ndugu zangu haya abaya nimekosa, na mnuso sasa nikose? 😄
Kwa maneno ya Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu @emanuelmartine3030 huu sio mkutano wa hadhara, wala mkutano wa wilaya au mkoa au taifa. Ni Mkutano Mkuu wa TAWI chuo cha @uvccm_kiut ambapo zaidi ya wanachama wapya 500 wa tawi hilo walipokelekewa. Hongereni sana viongozi wote wa tawi letu hili 💚

Swipe mpaka mwisho uone maajabu ya UVCCM 🙂↔️ Maneno ya Katibu Mkuu wa CCM na Mgombea Mwenza Mteule Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Arusha kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 👇🏽 ‘Mama mmoja ametamka kwenye maandaano; Ambaye hatamchagua Samia hajazaliwa na Mwanamke basi tunasubiri Oktoba tuone kama wale viongozi wa upinzani hawajazaliwa na Wanawake.’ Neno zito sana hili!!!! Tukutane Oktoba 🗳️
Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa Chini Ya Mwenyekiti wake Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya marekebisho ya kanuni za uteuzi wa wabunge wake wa viti maalumu. Kwa upande wa vijana kikao cha kupiga kura za maoni zitapigwa na wajumbe wa UVCCM ngazi za mikoa na wilaya na watakuwa ni wajumbe wanawake tu!!! Pia kutakuwa na ukomo wa viti maalumu kuishia vipindi viwili kuanzia mwaka 2030. Kauli Mbiu yetu kuelekea uchaguzi mkuu; Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele!!!!

Tukisema KAZI na UTU tunamaanisha!!! Uzinduzi wa mradi wa Frame 73 na Majengo ya Hostel za Chuo chini ya Vijana wa CCM Mkoa wa Singida. Imezinduliwa na Mwenyekiti wetu wa Vijana Wa CCM Taifa @comrade_kawaida Pongezi nyingi kwa Mwenyekiti Vijana Mkoa wa Singida @zulfat_muja na kamati yako yote ya utekelezaji kwa ziara hii kubwa na kwa maendeleo haya ya jumuiya yetu singida.