Jokate Mwegelo Instagram – Kwa maneno ya Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu @emanuelmartine3030 huu sio mkutano wa hadhara, wala mkutano wa wilaya au mkoa au taifa. Ni Mkutano Mkuu wa TAWI chuo cha @uvccm_kiut ambapo zaidi ya wanachama wapya 500 wa tawi hilo walipokelekewa.
Hongereni sana viongozi wote wa tawi letu hili 💚 | Posted on 09/Apr/2025 13:03:55



