Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo Instagram – Nikiwa mtumishi kisarawe nilitembelewa na vijana zaidi ya elfu mbili kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM walifika kwa kujitolea kwenye kazi za kijamii. Vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kujipanga na kujitoa kwa maslahi mapana ya nchi yao. Vijana wa Tanzania ni wazalendo sana 🙌🏽 | Posted on 06/Apr/2025 00:08:40

Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo

Check out the latest gallery of Jokate Mwegelo