Jokate Mwegelo Instagram – Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa Chini Ya Mwenyekiti wake Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya marekebisho ya kanuni za uteuzi wa wabunge wake wa viti maalumu.
Kwa upande wa vijana kikao cha kupiga kura za maoni zitapigwa na wajumbe wa UVCCM ngazi za mikoa na wilaya na watakuwa ni wajumbe wanawake tu!!!
Pia kutakuwa na ukomo wa viti maalumu kuishia vipindi viwili kuanzia mwaka 2030.
Kauli Mbiu yetu kuelekea uchaguzi mkuu; Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele!!!! | Posted on 11/Mar/2025 21:10:29



