Jokate Mwegelo Instagram – Jana usiku nilipata fursa adhimu ya kuwa Mgeni Rasmi kwenye tuzo za kwanza na za ki historia za @yangasc_princess Awards Gala chini ya @yangasc kwa udhamini mkubwa wa @gsmgroupofcompanies
Pamoja na mengi niliyoyasema jana niliwasihi ndugu zangu @caamil_88 na @malza12 tucheze tu au mnasemaje ndugu zangu? Kiroho safi kabisa 😁 | Posted on 22/May/2025 13:37:40



